Lyrics
Yaweh
Eee iyee iye
Unabaki kua Mungu pekee. Yaweh
Zaidi ya yote, utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega, hubadiliki kamwe
Zaidi ya yote, utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega, hubadiliki kamwe
Zaidi ya yote, utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega,hubadiliki kamwe
Nikitazama nyuma na mbele, naona ukuu wako.
Kaskazini kusini pia, naona ukuu wako.
Magharibi nako mashariki pia ee, naona ukuu wako
Zaidi ya yote, utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega, hubadiliki kamwe
Zaidi ya yote, utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega, hubadiliki kamwe
Hakuna mkamilifu katika wanadamu iyee,
Zaidi ya ee weh Mungu wangu Mungu wangu
Kila goti lipigwe, kila ulimi ukiri
Kuwa wewe ni Mungu pekee, pekee, wewe
Zaidi ya yote, utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega, hubadiliki kamwe
Zaidi ya yote, utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega, hubadiliki kamwe
Umenipigania, vita vikali.
Ambavyo mimi singeweza peke yangu.
Maadui waliniandama
Lakini ukawatawanya, kwa njia sabaa
Usifiiwe, uabudiwe
Zaidi ya yote, utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega, hubadiliki kamwe
Zaidi ya yote, utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega, hubadiliki kamwe
Unabaki kuwa Mungu tu
Anabaki kuwa Mungu tu
Na kwa wakamba, Mungu tu.
Na kwa waluhya, Mungu tu.
Na wakikuyu, Mungu tu.
Na kwa waturkana, Mungu tu.
Hata wakisii, Mungu tu
Hata waluo,Mungu tu.
Na kwa wamasaii, Mungu tu
Na kwa wakalenjin, Mungu tu.
Eeeyeye Mungu tu.
Na mijikenda, Mungu tu
Anabaki kuwa, Mungu tu
Na kwa wazungu, Mungu tu
Afrika yote, Mungu tu
Dunia yote, utabaki kua Mungu mkuu.
Yeaah atabaki kua Mungu
Atabaki kua Mungu tu
Zaidi ya yote, utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega, hubadiliki kamwe
Zaidi ya yote, utabaki kua Mungu mkuu.
Songtrust Ave, TUNECORE INC, TuneCore Inc.