Текст
Kwangu Kujua na kukua
Ni lengo la kila kukisha tua
Hivyo hata ukinizungusha
Sioni shida, Utanifundisha
Wakaribu wanatambua
Saa zingine maneno hunisumbua
Huwa yanikataa
Huwa yanihadaa
Lakini we, ona ninapaa
Ndege ushanifanya
Ukipandisha bei, unajua nitafika
Na nitapita yie
Lakini we, ona ninapaa
Ndege ushanifanya
Ukipandisha bei, unajua nitafika
Hata Kesho Kutwa, tutapendana
Na usiku kucha, tutapendana
Hata kesho Kutwa, tutapendana
Na usiku kucha, tutapendana
Wewe unanijua, gizani umenitoa
Sikudhani ningetoboa
Ni Mara ngapi nilikwama
Ni Mara ngapi? Umechagua niwe na we
Na siezi ngoja kwenda kwenye goti
Nikuvishe pete dunia i-notice
Vile ninapaa, ndege ushanifanya
Ukipandisha bei, unajua nitafika
Na nitapita yie
Lakini we, ona ninapaa
Ndege ushanifanya
Ukipandisha bei, unajua nitafika
Hata Kesho Kutwa, tutapendana
Na usiku kucha, tutapendana
Hata kesho Kutwa, tutapendana
Na usiku kucha, tutapendana
Ooh, I promise to love you
You inspire me
You....
Oh yes, oh yes, oh yes
We've given love a chance
Niwe na we', na we
love is always in us
Sometimes we fall in love
Love us always in us
Sometimes we fall in love
Love is always in us
Hata Kesho Kutwa,
Na Usiku... Na usiku
Kesho, kesho, kesho
Na usiku
Tutapenda
Edward's Okoth
O/B/O DistroKid