Lyrics
This' for my youngins and 'em
Gang s***
Yeah yeah
We going crazy you know (Shanty)
You dig? (Koded)
Huh Huh Huh
Yeah
Swipe that visa (skrt)
We're ballin' like Ibiza (yeah yeah)
Hii ni giza (giza)
Tumekuja kuchachisha (skrt)
Cheza chini
Chini ya maji bado nina dini
Cheza chini
Hii ni kali punguza usingizi
Swipe that visa (skrt)
We're ballin' like Ibiza (yeah yeah)
Hii ni giza (yeah)
Tumekuja kuchachisha (skrt)
Cheza chini
Chini ya maji bado nina dini (urrgh)
Cheza chini
Hii ni kali punguza usingizi
Nakuja na speedy ya kanjo
Ufala peleka tu kwako
Hapa ni mimi na Koded
Mistari imeweza na bado iko indoors
Collabo ilitoka wakanda
Ni mbichi na bado inakandwa
Shanty bado ninakanja
Bado kwa game mi nataka wajanja huh
Swaga ni safi pole wanaf'ki siku hizi hamnipati juu mi niko ndani
Kwani ni nani Shanty ndio mami
Mi ndio huwasha ma-rapper hadharani
Hop on the beat and i'm ready to flow
Kutoka kwa gari naingia kwa boat
She told me she ready she ready to go
I'm a big stepper call me the goat
Yeah yeah I'm the goat
Me and Shanty we go off
Ng'amo thaga ni to ng'ato to kwere
Kako biro no mwambie aende
Mi huenda solo sinanga hadi rende
Mi corona nilisimamisha reggae
Mali safi iende chain
We chafua usiache stain
Me and my youngins we just flexin' we just ballin' out
We in this track and we going crazy we just wildin' out
Swipe that visa (skrt)
We're ballin' like Ibiza (yeah yeah)
Hii ni giza (giza)
Tumekuja kuchachisha (skrt)
Cheza chini
Chini ya maji bado nina dini
Cheza chini
Hii ni kali punguza usingizi
Swipe that visa (skrt)
We're ballin' like Ibiza (yeah yeah)
Hii ni giza (yeah)
Tumekuja kuchachisha (skrt)
Cheza chini
Chini ya maji bado nina dini
Cheza chini
Hii ni kali punguza usingizi
Erick Mobegi
CHINATOWN MUSIC GROUP, Songtrust Ave